Wednesday, March 14, 2012

Badirika kuanzia sasa

Asalam aleikum jamiah!
natoa wito kwa vijana wenzangu kuhusu kubadilisha mtazamo wa jamii isiyokuwa ya kiislam ,Yatupasa kuwa makini na matendo,mienendo na tabia zetu.Hii inatokana na ukweli kwamba sisi ndiyo umma bora,lakini ubora wetu hauji hivi hivi tu;rejea aya ya Allah pale aliposema ubora wetu unatokana na nini:
  1. kwa kuamrishana mema
  2. kukatazana mabaya 
  3. kumuamini Allah
Tofauti na hapo vijana tumekuwa :
  1. tukiamrishana mabaya
  2. kukatazana mema
  3. kuamini katika vitu,mali,pesa na anasa za dunia
Ni wakati muafaka sasa kwa vijana kubadirika
Wabillah Tawfiq

No comments:

Post a Comment